Sharing is Caring

Kwa wale watu wanatembea Kenya na sehemu nyingine ya dunia kuna uwezekano unajiuliza kama ni vizuri kukaa kwa mahoteli ukiwa safarini wakati huu wa korona.

Hoteli nyingi zimezindua mipango na mikakati ya  kuongeza kiwango cha usafi katika mikahawa yao.

Mambo ya kuzingatia unapokaa kwa hoteli

  • Vaa maski wakati wote ukiwa ndani na nje ya hoteli na ukae mbali na wateja wenzako;
  • Kama kuna njia zinazowezesha mteja kuhudumiwa moja kwa moja bila kukutana na wahudumu wakati wa malipo and kuingia kwa hoteli hizo ni afadhali;
  • Kama umekuwa na dalili za ugonjwa wa Korona-19 ama kama umekaribiana na watu waliopimwa na kupatikana na ugonjwa wa Korana-19 usisafiri;

 

Verified by MonsterInsights