Trends of Revenue collection in Nyamira County

Sharing is Caring

Trends of Revenue collection in Nyamira County

Nyamira County own revenue performance since 2013/2014 to 2017/2018

Haya ndio matokeo ya Kaunti ya Nyamira katika kukusanya ushuru kutokana na Single Business Permits, cess, parking fees na zile zingine.

Mwaka wa kifedha was 2016/2017 ndio uliokuwa bora zaidi kwa Kaunti ya Nyamira. Serikali ilikusanya Ksh. 286.44 million wakati huo.

Sura ya mapato ilipadilika ghafla kwa kuanguka mpaka million Ksh. 96.62 mnamo mwaka wa 2017/2018. Hatujui ni nini ilifanyika katika huo mwaka. Inawezekana kuwa wafanyakazi wa kukusanya mapato walizembea kazini ama kwa sababu ulikuwa mwaka wa uchaguzi na kaunti iliregeza kamba ndio wapate kula. Hapo mimi sijui uliza govana wako John Nyagarama na watu wake.

Nyamira County – Equitable Share Trends

Equitable share received by Nyamira County since 2013/2014.
Graph 2: Equitable share received by Nyamira County between 2013/2014 and 2017/2018.

Hii sehemu ya kupokea fedha sinazo julikana kama “Equitable Share” yaani mapato yanayokusanywa na serikali kuu na baadaye kutumwa kwa Kaunti arubaini na saba. Kaunti ya Nyamira imekuwa ikipokea pesa ambazo zinaendelea kuongezeka mwaka baada ya mwaka. Kwa ujumula Nyamira ilipokea milioni 19.87 kwa hiyo miaka tunayoangazia.

Ni mambo gani Kaunti ya Nyamira imefanya na hizo fedha? Tungependa kusikia kutoka kwako wewe mwenyeji wa Nyamira.

Ni sehemu gani ambazo zimepewa kipao mbele? Ni kilimo, ni elimu ya chekechea? Ni afya bora ama bora afya? Ni miundo msingi?

Read More:

Sharing is Caring:
error0

Comments

comments

Editor-in-Chief

Geoffrey Kerosi is a prolific Kenyan writer based in Nairobi City. Email: info@kerosi.com. Skype: gkerosi Whatsapp: +254713 639 776 YouTube: Kerosi TV

Please wait...

Subscribe to our newsletter

Want to be notified when our article is published? Enter your email address and name below to be the first to know.
error

Enjoy this blog? Please spread the word :)

Skip to toolbar